Japo ametutoka kimwili, ila kiroho bado tupo naye milele…Marehemu Ngwair alitengeneza mdundo huu, na leo hii umeachiwa rasmi baada ya kuusubiri kwa hamu.Track ikienda kwa jina la ALMA,(Albert Mangwea) kutokana na maelezo waliotoa ndugu zake, imetambulishwa leo kwenye kipindi cha XXL, kupitia kituo cha redio cha Clouds FM.
Mama mzazi wa marehemu Ngwair ndiye aliyeizindua rasmi ngoma hiyo. We gonna remember you always Cowbama…!!
Isikilize na Kuidownload hapa chini ngoma hii...
No comments: