Ni muda mrefu sasa umepita tangu Vicent Kigosi a.k.a Ray Kuachia filamu Mpya, hatmaye ukimya wake huo umeibuka na kitu kipya ambacho kitakuwamadukani anytime kuanzia sasa Filamu hii mpya ndani yake utawakuta wakali kibao wa Bongo Movie kama vile Jackline Wolper na wengine kibao.
Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM Kwa Kijiunga Hapa Buree!.
Hizi ni baadhi ya picha za nyuma ya kamera kutoka katika uandaaji wa filamu hii ya 'HARD PRICE' kwa nkala yako wasiliana na Rj Company au kwenye maduka yauzayo Filamu za Kitanzania.
Tazama Picha hizi chini....

No comments: