Hit maker wa Miss Koi Koi Omari nyembo a.k.a Ommy Dimpoz anaendelea kuzikusanya dola na pound huko ughaibuni, ambapo weekend iliyopita alikata kiu ya wapendanao wa London katika show ya Valentine ambayo ilikua ikiongozwa na staa mwingine wa Tanzania mtangazaji Salama Jabir.
Show hiyo ilionekana kuhudhuriwa na warembo wengi ambao ndio mashabiki wakubwa wa nyimbo za msanii huyo hata hapa Tanzania.
Image Crdit:Jestina George
No comments: