» » » Music: Queen Darleen ft Shilole - Nakomaa na Jiji/Remix 'Wanatetemeka'

Sikiliza wimbo kutoka kwa Queen Darleen ambae ni dada wa Diamond Platnumz, hapa kamshirikisha Shilole ambapo unaweza kudhani ni rmx ya ‘nakomaa na jiji’ lakini jibu ni hapana……. wimbo huu unaitwa ‘wanatetemeka’ audio imefanywa palepale kwa Mazuu.



Sikiliza na Download nyimbo hii hapa chini

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Dina Marios na Ncha Kalih Wapata mtoto wa Kiume anaitwa Zion, waingia rasmi kwenye Dunia ya Uzazi
»
Previous
Picha: Ommy Dimpoz alivyowapagawisha wabongo waishio UK,katika siku ya Valentine

No comments:

Leave a Reply