Mtangazaji wa kipindi cha ‘Leo Tena’ cha Clouds FM Dina Marios, amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume, baada ya kutosikika kwa kipindi kirefu kutokana na kuwa mjamzito
Mtoto wa Dina Marious na Reuben Ndege ‘Zion’
“Na ataitwa jina lake,Zion!…thank you lord and wote kwa sala na dua zenu.Mimi na baby wangu @nchakalih tumeingia rasmi kwenye dunia ya uzazi.”
“Na ataitwa jina lake,Zion!…thank you lord and wote kwa sala na dua zenu.Mimi na baby wangu @nchakalih tumeingia rasmi kwenye dunia ya uzazi.”
Upande wa Ncha Kalih naye hakukosa kitu cha kumwambia baby mama wake:
Bongo61 Inawapa Ongera Baba na Mama Zion kwa kupata mtoto.
No comments: