» » » Picha: Tazama picha za utengenezaji wa video ya Wimbo wa Kombe la Dunia, Jennifer Lopez na Pitbull Ndani

Wiki hii mwanamuziki Jennifer Lopez alikuwa busy sana katika  kushoot video mbili za muziki.



 Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao, “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami. 

Tazama picha hapa chini.


















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply