Unapoongelea fani ya muziki wa Bongo Fleva kwa hapa Tanzania kwa miaka mingi ya nyuma ilikuwa ni kazi amabayo wasanii wengi walikuwa wakitoa malalamiko yao juu ya kuibiwa kazi zao na malalamiko mengi kutoka kwa familia zao wakidai kuwa kazi ya uimbaji wa muziki wa Bongofleva ni kazi ya kiuni na isiyokuwa na mafanikio
Lakini kwa asilimia kubwa sasa wasanii wa BongoFleva na aina zingine za muziki Tanzania wameanza kuyaona mafanikio ya Vipaji vyao, kwa leo hii tukiongelea wasanii wenye mafanikio tunaweza kuwapata hata wasanii 20 mpaka 30 wenye mafanikio kupitia industry hii ya muziki.
Kwa leo tunawaletea wasanii hawa wachache wa bongo fleva wanaomiliki magari yenye thamani Tanzania kupitia muziki wa Bongo Fleva.
1: Diamond Platnumz
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.
2:Irene Uwoya
3:Lady Jaydee
Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.
4:Wema Sepetu
Wema Sepetu anamiliki gari aina ya Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.
5: Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye thamani ya shillingi milioni 35.
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.
Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.
Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.
7: Barnaba
Barnaba naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye thamani ya shillingi milioni 30.
No comments: