Ni rummors nyingi zilisikika kila kona ya mtandao hasa africa juu ya Prezzo kupigwa chini na Mpenzi wake wa kichagga aishiye Marekani
“Let De Movie Continue #MapenziniUpofu #HakunaNgechuBilaChaggabarbie #MunguAnajuaKwanini #SihitajiyeyoteZaidiYake #NawaombaMtuombee #HakunaMahusianoRahisiDuniani NimeaminiUkimpendamtuhataitokeeniniHuwezikuukimbiaMoyo. Nawatakia Jumapili Yenye Amani, Furaha, Upendo, Kusamehe na Mumtangulize Mungu Jamani Ndio Kila Kitu. Kwa Neema Yake Kanipaujasiri wakuwaeleza haya Leo,” aliandika kwenye picha hiyo.
na Prezzo hajasema lolote.
Ni matusi ya kila aina aliyoyapata kutoka kwa mpenzi wake, Starlisha Tillya aka ‘Mdoli wa Kichaga’ (Chagga Barbie), Prezzo aliandika: President” is like a drug (highly addictive) he’s the best up until the drugs runs out, withdrawal symptoms can be seen from miles.”

No comments: