Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM F
» » » Picha: Amini apata jiko , ni Namcy Vana wa Kantangaze

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.



Tazama picha hapa...






























Amini akiwa na mkewe
Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.


Pongezi nyingi kwa Amin na mkewe

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magazetini leo Jumanne ya Tarehe 24/6/2014
»
Previous
Ben Pol kuachia wimbo mpya July 27, umeandikwa na mwalimu wa chuo kikuu

No comments:

Leave a Reply