» » » » Umeshawahi Kujiuliza Diamond Platnumz ni Heart Breaker , Hit Maker , Money Maker

Why HeartBreaker?

Kwanza tunaanza na nyimbo zake yeye mwenyewe. Nyimbo zake nyingi ameandika kutokana na historia ya kweli iliyowahi kumtokea na ikiwa ni kuumizwa na wapenzi wake wa zamani au yeye kuwapiga vibuti. Nyimbo ya mawazo na kamwambie ni nyimbo yenye hisia kali aliyomwandikia demu mmoja anayeitwa sara aliyempiga kibuti na kuolewa na mtu mwenye pesa.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

 Nyimbo ya mawazo alimuimbia jackline wolper , huku nyimbo ya ukimwona akiimba kupeleka ujumbe kwa demu wake wa sasa wema sepetu ambapo kipindi hicho ndio alikua amepigwa kibuti. Ukiachana na hao diamond ashawahi kua na mahusiano na demu penny na jokate mwengelo.



Why Hit Maker?

Diamond ameshaandika nyimbo zaidi ya 133 . Diamond anacharge zaidi ya milioni 6 kwa show za ndani na dollar 25,000 kwa show za nje.Miaka miwili iliyopita alifanya show kigali , Rwanda na kupata 100,000 US dollars.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.




Why Money Maker ?

Utajiri wa diamond unakadiriwa shillingi billioni 1.2 . Diamond Platnumz amewekeza kwenye Real Estate na anapangisha nyumba kadhaa hapa mjini. Ana Clothing line yake, ana miliki fashion boutiques , viwanja vya kutosha na magari ambayo ukijumlisha gharama yake unajena hoteli ya nyota 4. Pia Ana mikataba mikubwa yakibiashara na Vodacom na Coca-cola.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply