» » Paul Walker amwachia mtoto wake wa kike mali zenye thamamni ya Dolla Million 25

Paul Walker amekufa akiwa mwanaume tajiri, na ameach jumba la kifahari na mali zingine kwenye mikono ya Binti yake mdogo mwenye umri wa miaka 15 aitwaye Meadow Walker

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.


Star huyo wa Fast & Ferious aliyekufa akiwa na umri wa miaka 40 tu! ambaye alifariki katka ajali ya gari mwezi Novemba mwaka jana, ameacha utajiri wa Dolla za Kimarekani Million 25




Lakini urithi huo aliouacha Paoul Walker umeanza kuleta utata baada ya jina la baba yake poul walker kuwepo katika document zilizpatikana mahakamani kwamba ameusishwa kwenye urithi huo,

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.


Kuendana na Maandishi ya Poul Walker na Maagizo yake ni kwamba  Mama wa Mtoto wake Meadow anayeitwa Cheryl kama msimamizi wa mali za mtoto wake mpaka apo atakapotimiza umri wa kukabidhiwa mali zake hizo
But according to the documents, the inheritance came with complications. 

Kwa sasa mtoto huyo wa Poul walker anaishi na Bibi yake mzaa mama anayeitwa Rebbeca




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply