Ni muda sasa umepita toka babu wa loliondo alivyoitikisa Dunia kwa ajili ya Uponyaji wake wa kipekee aliokuwa akiutoa kwa wananchi wa sehemu mbalimbali kutoka katika mikoa tofauti Tanzania na ata Dunia kwa ujumla kwani habari zake zilienea katika mitandao vyombo vya habari vingi.
Anaitwa Mzee Mwasapile ' Babu wa Kikombe'Babu wa Loliondo' Majina yote haya aliyapata kutokana na njia aliyokuwa akiitumia kutoa tiba kwa watu mbalimbali, watu wengi wqalipona maradhi yaliyokuwa yakiwasumbua kwa muda mrefu ndipo watu wengi walipoamini Mzee Mwasapile nini alikuwa anafanya habari zikaenea karibia Tanzania nzima juu ya miujiza aliyokuwa akiifanya Babu huyu kwa kikombe chake tu watu walipona maradhi kabisa.
Nimeamua nikukumbushe kidogo kuhusiana na Babu wa uyu aliyeiteaka Tanzania, Dunia kwa Ujumla kwa Tiba aliyokuwa akiitoa kwa watu tofauti, na pengine aukuwa kusikia juu ya Babu uyu, altleast utakuwa umepata Utambulisho mfupi juu ya Mzee Mwasapile;Babu wa Kikombe'
Tazama picha zake hapachini kujua hali yake kimaisha kupitia picha........
Babu wa loliondo akiwa kapozi ndani ya mjengo wake baada ya kutoka katika nyumba yake ya awali
'tazama picha chini'
Nyumba ya zamani ya Babu "Mwasapile" wa Loliondo aliyokuwa akiishi uko loliondo
Bbau wa Liliondo mzee Mwasapile akiwa kasimama sambamba kabisa na gari yake anayoimiliki kwa sasa.
No comments: