Video: Emmanuel Msuya - Leo ni Leo Unknown Tuesday, February 18, 2014 0 No comments Kama unamkumbuka yule mshindi wa Bongo Star Search kwa mwaka 2013 'Emanuel Msuya' Ameachia video yake mpya aliyoifanya tangu aliposhinda. Audio imefanyika katika studio za Burn Recods chini ya Producer Shedy CleverItazame Hapa chini... Share !
No comments: