» » » » Video: Wema Sepetu na Diamond ni Love, Kazi au Drama

Dakika kadhaa zilizopita wema sepetu ameshare video hii akiwa yupo na Diamondkatika pozi tofauti, Hii inaonyesha wawili hawa wamerudiana tena au kazi , Ukiitazama video hii kwa umakini utakuta kuna maandishi yanayoelzea 'my end nd my beggining' Maandishi haya yakiwa yanamaanisha mwisho na mwanzo wangu .. so what happen to this two celebrity..pengine ni love au kazi



Kupitia mtandao wa kijamii wa Intagram Wema Sepetu alishare video hii hapa chini kitazame kipande hiki then comment zako zitahusika sana kwa wawili hawa Diamond Platnumz na Wema Sepetu.

Bofya Link hii kutazam video




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply