» » Wema Sepetu hupendeza pia akivalia na hivi

Karibu katika segment yetu mpya ya 'what cebs they dress in' segment hii itakuwa inahusu mastaa wanavalia nini katika maisha yao ya kawaida na ata kwenye zile event muhimu ambazo huusiha Red carpet.

Endelea kupata Habari Zaidi za Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Here its all about Fashion and Style, ukiangalia katika zama kwa sasa fashion imekuwa ikichukua sehemu kubwa ya maisha ya mwanadamu hasa kwa wale wakina dada na Brother's wote wanaopenda kupendeza na kwenda na fashion Segment hii itawahusu sana.

Kwa kuanza tumeanza na mwanadada wema sepetu akiwa katika latest photos on instagram, Wema sepetu ni mwanadada ambaye anapenda fashion sana na ni celebrity ambaye every girl out there hupenda kuwa kama mwanadada huyu.

Endelea kupata Habari Zaidi za Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

 Wewma sepetu akiwa kavalia raba chini na juu ni steti fupi na ya simplo' she is look beauty'
Hapa amemetisha na RABA Nikimanisha koti alilovaa ni rangi nyekundu uu part nyingine ya sneaker aliyovaa ina rangi ya blue amabayo inaonekana katika jinsi aliyoivaa. truly she is looking beauty

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply