Mwanadada Rehema Chalamila anayehafika kama Ray C, ameamua kufungukamkupitia ukurasa wake wa Instagram ni kuhusiana na Kukamata kwa Mpenzi wake wa Zamani Lord Eyez huko Arusha.
Ray C kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika Maneno kadaa ya kumshauri mpenzi wake huyo wa Kitambo kubadilika na kuijitambua uku akisisitiza kumuombea kwa mungu ili aweze kubadilika mfumo wake wa maisha.
Je wewe ni shabiki wa Lord Eyez? kama jibu ni ndiyo je Unalichukuliaje swala zima la kukamatwa kwake kwa Tuhuma za wizi ikiwa ni mara ya Pili sasa kwa kesi ka hii kujirudia tena katika Historia yake?
Ray C kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika Maneno kadaa ya kumshauri mpenzi wake huyo wa Kitambo kubadilika na kuijitambua uku akisisitiza kumuombea kwa mungu ili aweze kubadilika mfumo wake wa maisha.
Ray C akiwa na Rapper Lord Eyez Enzi za Mapenzi yao..
Hapa chini kunapost inayoonyesha kile alichokipost mwanadada Rehema Chalamila kuhusiana na Kukamatwa kwa Laazizi wake wa Kitambo
No comments: