Tuzo hizo zilianzishwa miaka 20 iliyopita na kwa mwaka huu Diamond ndio ataipeperusha Benderaya Tanzania. Moja ya kitu alichokisema kupitia website yake ni jinsi utavyoweza kumsadia kushinda tuzo hizo. Diamond alisema “Tuzo kubwa za Afrika,KORA zimewadia..na mimi nahusika…hivyo basi kama mpenzi na shabiki wa Music wangu Niwezeshe kushinda kwa kunipigiakura kura . ingia katika Facebook page yao ambayo ni Kora Awards kisha Katika kila post niliyoshiriki Comment kwa kuandika jina Diamond Platnumz”
Good News: Diamond atajwa kuwania Tuzo za Kora, hivi ndio utaweza kumpigia kura

No comments: