Inspector Haroon anunua Mkoko wake aina ya Subaru, Itazame hapa Unknown Saturday, March 8, 2014 0 No comments Inspector Haroon aka Babu, rapper wa kitambu sana kwenye game la bongo fleva akiwa na mwenzake Luteni Kalama ndani ya kundi la Gangwe Mobb ametuonyesha gari yake mpya na kutoa shukrani kwa Mungu Kwa kipato mpaka kununua gari hio.Hii ndio post yake ailiyoipost, itazame Share !
No comments: