Muigizaji wa Bongo Movie Salma Jabu hivi karibuni alitembela kituoa cha kulelea watoto yatima kilichopo uko Zanzibar na kutoa misaaada hii michache kama jinsi inavyoonekana pichani hapa chini!
 |
Hapa Salma Jabu akiwa amepiga picha na Baddhi ya watoto pamoja na walezi wa kituo hicho |
No comments: