Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » Picha: Show ya Ommy Dimpoz Mascat Ilikuwa hivi

Ijumaa ya March 28 2014 mwimbaji wa bongofleva Ommy Dimpoz alifanya show akiwa na Liveband huko Muscat Oman baada ya kulipwa hela ndefu ili afanye hiyo kazi ya kuburudisha akiwa na timu yake.

Unaambiwa ni kwenye party ya kampuni moja ya mafuta ambayo ilisikia mapendekezo ya Wafanyakazi wake waliotaka Ommy Dimpoz kutoka Tanzania ndio awe msanii atakaewapa burudani kwenye siku hii maalum.












Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Diamond Platnumz aondoka leo March 30 kwenda Nigeria kufanya video mpya
»
Previous
Magazetini leo Jumapili ya Tarehe 30/3/2014

No comments:

Leave a Reply