Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.
“Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini,” alisema Shamsa.
chanzo:Globalnews
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: celebrity News Gossips News
Related Posts
Baada ya story za Diamond na Wema, sasa imeamia kwa Cindy Rulz na Gosby.
Mbali na zil story za Diamond na Wema Sepetu zakuachana naa kurudiana, ambao kwa hivi sasa imeanza ...Read more »
21Jun2014Selena Gomez na Justin Bieber wahudhuria masomo ya biblia pamoja
Justin Bieber na mpenzi wake Selena Gomez Jumatano hii walihudhuria masomo ya biblia pamoja.Wawili h...Read more »
20Jun2014Wema Sepetu ashika ujauzito wa uyu Superstar!
'Beautiful Onyinye' na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya misuko...Read more »
16Jun2014Video : Diamond akiwa na mama yake mzazi wakicheza Kitorondo
Kuna wengi watakuwa wameshaisikia hit mpya ya Diamond Platnumz ambayo ilivuja, hit hiyo inaitwa KITO...Read more »
12Jun2014Alichosema Mhe. Komba baada ya picha kusambaa akiwa na binti chumbani.
Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein K...Read more »
06Jun2014Mume Wa Flora Mbasha Atuhumiwa Kumbaka Shemeji Yake, Flora Apost Picha Za Mumewe Siku Hiyo Hiyo
Mume wa muimbaji wa injili Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ambaye pia ni muimbaji anatafutwa na jeshi ...Read more »
30May2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: