» » » Jacqueline Wolper : “Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa kwani mimi sio Msagaji"

MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji.




Akizungumza hivi karibuni  na mtandao wa globalpublishers mwanadada huyo alisema, akiwa kama mwanamke anayejitambua na kumtukuza vyema Mungu wake jambo hilo limekuwa likimuumiza.
“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile,” alisema Wolper.


Chanzo: Globalnews

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Magoli ya FC Barcelona vs Almeria yalikuwa kama hivi
»
Previous
Shamsa: afunguka na kusema 'Msimsogelee Mume Wangu'

No comments:

Leave a Reply