Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » » » Je Umeshawahi Kujiuliza Kama Kuna Ugomvi Wowote Kati ya Lulu Michael na Wema Sepetu...? Lulu Afunguka Haya

KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.



Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.

“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake mbalimbali,” alisema.

Lulu na Wema ni wasanii waliokumbwa na changamoto nyingi katika maisha yao ya sanaa, lakini wameweza kuendeleza umaarufu wao hadi sasa na wamejizolea idadi kubwa ya mashabiki.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Tiffah ni Photocopy ya Baba yake Diamond Platnumz
»
Previous
Wanawake wa Haya makabila Kitandani ni Wabovu Sana

No comments:

Leave a Reply