» » » Video: Mchezaji wa Chelsea acheza wimbo wa Ommy Dimpoz 'Tupogo', mtazame hapa

Bwana Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ana kila sababu ya kumshukuru mchezaji wa Chelsea raia wa Tanzania Adam Nditi kwa kuwafikishia wachezaji wa timu hiyo kubwa duniani wimbo wake aliomshirikisha J’Martins, Tupogo.




Leo, Ommy Dimpoz amepost kwenye Instagram video inayomuonesha mchezaji wa 'timu ya vijana ya klabu ya Chelsea' akicheza wimbo wake wa Tupogo, video iliyochukuliwa na Adam Nditi.

“This is How Chelsea Players Dance TUPOGO before training: Video credit by my bro @adamnditi #pkp#london.” Ameandika Ommy Dimpoz kwenye post hiyo.

Ni mwanzo mzuri, huenda wimbo huo utapenya hadi kwenye kikosi cha klabu ya Chelsea na kupewa credit kama hiyo.


angalie hapa:

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply