Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » Mjomba wa Snoop Dogg afariki kwa ugonjwa wa Cancer

Rapper Snoop Dogg amepata pigo la kufiwa na mjomba wake mpendwa aitwae June Bug aliyepoteza maisha kutokana na saratani iliyomsumbua kwa muda mrefu (colon cancer), March 30.



June Bug alikuwa mtu wa karibu wa Snoop Dogg mbali na kuwa mjomba wake ambapo alikuwa akipanda nae jukwaani katika baadhi ya show za Snoop Dogg na kuwapigisha shangwe mashabiki.

“Lov u unc!! C u when I get there!!! R.I.P junebug!!” Snoop Dogg alitweet.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Harusi ya kimiila ya Poul Okeye na Anita Isama, Mastaa kibao Walifika
»
Previous
Music: Flovaman feat Jim jay - Sio sawa

No comments:

Leave a Reply