» » Music:Tanzania All Stars - Muungano

Sikiliza wimbo huu wa muungano uliofanywa na wasanii 50 kutoka Tanzania, katika wanamuziki wa mahadhi tofauti ya muziki na ladha , utapata kumsikia Amin, Ommy Dimpoz, Mwasiti, Linah, Christina Susho, Ali kiba, Abdu kiba, Mzee Yusuph na wasanii wengine kibao donwload na kuusikiliza wimbo huu




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Exclusive Audio: M-Rap kuwashirikisha marehemu Ngwair na Mwana FA kwenye remix ya Usiende Mbali
»
Previous
Diamond alilia wakati akifanya Chorus ya Kipi Sijasikia 'Profesa Jay'

No comments:

Leave a Reply