» » » Picha: Feza Kessy azindua wimbo wake mpya ‘My Papa’ Nchini Botswana

Fezza Kessy akisindikizwa na mchumba wake, O’Neal, leo mwanadada huyu kutoka Tanzania  ameitambulisha single yake mpya ‘My Papa’ kupitia kituo cha redio cha Yarona FM cha jijini Gaborone, Botswana.

Feza Kessy akiwa na O’neal pamoja na mfanyakazi wa kituo hicho cha redi

Kupitia ukurasa wa Facebook, Yarona FM wameandika: “So a little earlier we had Feza Kessy @FezaKessy on Mojo In The Morning for a short interview for the first time in Botswana with her man O’Neal @Onizee. She was here to promote her new single ‪#‎MyPapa‬ that played on ‪#‎RateItOrHateIt‬. The single is soon soon to be released on itunes so stay tuned for more info on when. ‪#‎LiveTheMusic.”

Tazama picha zaidi hapa.











Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply