Habari kwa Ufupi :

» » Picha: Hivi ndivyo Show ya Mafikizolo ilivyokuwa jijini Dar Ilifana sana!

Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini linaloundwa na Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza jana (April 5) limezikonga nyoyo za mashabiki wake jijini Dar es Salaam.Show hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City ilihudhuriwa na mashabiki mbalimbali na wapenzi wa burudani, hali iliyopelekea show hiyo kuwa nzuri zaidi.
Mwimbani wa kundi la Mafikizolo, Theo Kgosinkwe akifanya yake




























Luca Neghesti na Nancy Sumari wakisubira show ya Mafikizolo

Add caption




Mwimbaji wa Mafikizolo Nhlanhla Nciza






Image Credit:Bongo5

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Birdmen amzawadia Justin Bieber Bugatti
»
Previous
Winnie Mandela na Barack Obama ni kati ya wageni waalikwa katika harusi ya Kanye West na Kim Kardashian

No comments:

Leave a Reply