Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Jux aendelea na Kushoot video ya 'Nitasubiri' nchini China

Hit maker  wa ‘Uzuri Wako’ Juma Jux ameanza kushoot video mpya ya single yake ya sasa ‘Nitasubiri’ ambayo inadaiwa kuwa amemuimbia mpenzi wake Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya nchini China.


Jux ambaye ameondoka nchini wiki kadhaa zilizopita ameshare baadhi ya picha za location wakati shooting ya video hiyo ikiendelea.
Jux akiwa na Modela wa Video hiyo, pamoja an Director Zed

Jux akishoot scene yake


Camera inayotumika katika kushoot video hiyo

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
MTV Movie Awards : Picha za Red Carpet , Stage Performances na washindi
»
Previous
Picha: Video ya Weusi ‘Gere’ yafanyika Kenya

No comments:

Leave a Reply