» » » Wema Sepetu Apata shavu la Tangazo Airtel, Tazama Picha Hapa

Makampuni ya simu yameendelea kuwapa Neema wasanii wa mbalimbali wa Tanzania, na wakati huu ni neema imemuangukia Wema Abram Sepetu.



Wema ameonekana katika picha akiwa sura mpya itakayoitangaza huduma ya mtandao wa Airtel inayohusu internet itakayomsaidia mteja kuingia Whatsap, Facebook, na Twitter bure.

Tazama picha ya tangazo alilofanya wema Sepetu


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Huyu ndiye aliyemshawishi JB Kuigiza.
»
Previous
Audio: Witness kuendesha semina ya jinsi ya kufanya biashara ya muziki bila kutegemea sana radio na TV, inaanza May 5

No comments:

Leave a Reply