Habari kwa Ufupi :

» » » B-Dozen mchokozi eti amuuliza Ommy Dimpoz kuhusu viatu vyake kama ni vya kike au kiume?

Tarehe 9 May 2014 - B-Dozen mchokozi eti amuuliza Ommy Dimpoz kuhusu viatu vyake kama ni vya kike au kiume?



Kwenye mtandao wa twitter, mtangazaji wa Clouds FM Hamisi Mandi au wengi tukimfahamu kama B12 "B-Dozen" amemuuliza swali la kizushi Ommy dimpoz kuhusu viatu vyake alivyo vaa..








nahiki ndicho alichoandika... B12 nakuweka picha ya viatu hivyo..

"Hivi ndo Viatu Vya dimpoz, si kwa ubaya tunaomba ufafanuzi ni Vya kike au kiume?"

wewe unaonaje, hivi viatu ni vya kike au vya kiume..?

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Mashabiki wa P-Square waikosoa video yao mpya ‘Taste The Money’…’ too many girls… looks like the DO ME video’
»
Previous
Magazetini leo Jumapili ya Tarehe 11/5/2014

No comments:

Leave a Reply