#1.Anajisifia kila saa kuhusu wewe kwa marafiki zake.. kama kimetokea kitu kizuri au amefanikiwa kufanya jambo fulani kazini,hawezi kujizuia kukutaja kwa marafiki zake kuwa bila wewe vyote visingewezekana,sababu ni wanaume wachache sana wanaweza kuwataja wapenzi wao mbele ya marafiki zao mbali zaidi na yakusifia yenyewe.
#2. Anakufanyia vitu usivyotarajia—mfano kwa wale wanaofanikiwa kupata kazi mbali na mkoa,sana sana kazi hizi za kupangiwa na serikali,utakuta mwanaume anatumia muda mwingi kila akipata,kuja kukutembelea,tena wengine unakuta anahama kabisa kwa muda kuja kukaa na wewe popote pale utakapokuwa.
#3. Wote mnakuwa na mtazamo unaofanana. Kwa mwanaume anayekujali na ambaye yuko teyari kukaa na wewe kwa muda mrefu,utakuta mapendekezo yako mengi hasa yale yenye umuhimu, wote mnakubaliana mara moja bila hata ya ubishani wowote ule,anaepuka sana kukuudhi au kukufanya ukasirike.
#4.Hata kama mmekaa miaka toka mwanzo wa mahusiano yenu unakuta anafanya mambo yale ya wapenzi wachanga,kama kukufungulia mlango mara kwa mara,kukushika mkono mtembeapo,kukuambia anakupenda mara kwa mara na vitu kama hivyo,hapa ujue kuwa hayuko teyari kukupoteza,na zaidi unakuta hayuko teyari kukuacha uende mahali peke yako ,unakuta anakuuliza kama utapenda kusindikizwa.
#5. Hatajaribu kukubadili. Kwa kila jambo ufanyalo,mara nyingi hutakuta kukaa ukamuona anajaribu kukubadili sababu amekupenda kama ulivyo,na yuko teyari kuishi na mapungufu yako ulionayo..
#6. Anajali marafiki zako. Wanaume wengi wanajua kuwa marafiki zako wakaribu ndio ulimwengu wako na hayuko teyari kukuambia uachane nao,zaidi utakuta anajitahidi kuwa karibu nao,hata kama imepita muda hajasikia kuhusu rafiki yako anaweza kukuuliza vipi anaendeleaje au yuko wapi siku hizi,ni njia moja wapo yakujua kuwa huyu mwanaume kweli ana malengo makubwa na mimi.
#7. Mnaweza kustahimili mapenzi ya mbali bila yakukata tamaa. Kwa mwanaume anayekujali na kutarajia kukuita mke siku moja,mapenzi ya mbali kwake siyo tatizo,yuko radhi kukusubiri kwa muda wowote ule hadi pale utakaporejea bila hata yakukusaliti na mwanamke mwingine,anakupigia kila siku,mnachat sana, hii yote ni kwa sababu sehemu kubwa ya maisha yake ni wewe, bila kujali upo umbali gani.
#8. Yeye ni mtu wa pekee wa kumwendea unapokuwa na tatizo,au kitu chochote cha kuongea.Kuhusu kazini,kuhusu rafiki yako au chochote kile kinachokusumbua kichwani ,unakuwa upo free kuongea naye vitu vyote ambavyo awali ulikuwa free kuongea na wazazi wako au marafiki wako wakubwa,na yuko radhi kukaa na kukusikiliza chochote utakacho mwambia,sababu mwisho wa siku anataka uwe na furaha
#9. Unaweza kulia mbele yake bila kujisikia aibu.kuna ile hali yakumzoea mpenzi wako na kumzoea kama best friend wako,hadi kufanya nae vitu ambavyo hutaona aibu kufanya yake,hutaona aibu akikuona ukifanya,zaidi unajisikia free hata kulia mbele yake sababu, anakusikiliza na kukubembeleza kwa sababu unajua kuwa mpenzi wako hata ku-judge .
#10.Anakuwa karibu sana na ndugu zako.kwa mwanaume mwenye malengo ya mbali na wewe, utamkuta anajenga mahusiano ya mapema na ndugu zako wa karibu,anamuita baba ua mama, wazazi wako kama uwaitapo wewe bila hata kujishtukia ,wengine utakuta hata kama haupo anaweza kufanya birthday party ya mdogo wako au ndugu yako yeyote yule.
Tunaomba Maoni yako Hapa :
Category: Life Style Relationship and Sex
Related Posts
Nimetembea Kimapenzi na Binti Zangu Wawili kwa Mpigo Usiku Mmoja Kwenye Kitanda Kimoja
Ndugu Wadau,Nianze hivi,ninafanya kazi mbali na mke wangu, sasa niko kwa wife wiki ya pili kwa vile...Read more »
26Sep2015Wanawake wa Kichaga Jisafisheni Kimapenzi Maana Sehemu Kubwa ya Jamii inawaogopa Kimapenzi
Ukipata mchumba hasa mmachame wanafamilia wanakuwa wagumu kubariki mahusiano yenu.Hii imetokana na ...Read more »
26Sep2015Wanawake wa Haya makabila Kitandani ni Wabovu Sana
Hiyoooooooooooooo ndo habari kwani kuna baadhi ya makabila ukiwa una mgegeda hata hatingishiki yeye ...Read more »
25Sep2015Wnafunzi hawa wakutwa wakifanya ngono kweupeeee...
Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngon...Read more »
07Aug2014SHTUKA MREMBO: MAMBO MUHIMU YA KUFANYA BAADA YA KUTENDWA NA UMPENDAE...!
KATIKA MAISHA YA KIMAPENZI HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUSALITIWA, TENA KUSALITIWA KUNAKOUMA ZAIDI N...Read more »
07Aug2014IRENE UWOYA AWATEGA WANANUME NA KIVAZI HIKI CHA NUSU UCHI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mastar wengi wabongo wamekuwa wakipiga picha nyingi ambazo zinakuwa...Read more »
07Aug2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments: