» » » Hawa ndio wananume waliowahi kufaidi Mabusu ya Wema Sepetu mbali na Diamond Platnumz

Katika watu maarufu hapa Bongo ambao wako very open inapokuja swala zima la mahusiano, iwe rafiki wa karibu au mpenzi wa moyo, basi jina la Wema Sepetu liwekwe on top of that list, ni moja kati ya watu ambao hawawezi kuzuia hisia zake, haijalishi yupo hadhara gani.



Tumeona jinsi alivyo open kuzungumzia siku zote mapenzi yake kwa Diamond Platnumz, hata pale walipokuwa wameachana, kama ni drunk in love basi basi we muuliza Wema ni nini haswa maana yake. Basi ukiachana na Diamond Platnum ambaye sasa ndiye mmiliki halisi wa Diva huyo ambaye ni gumzo katika media mbalimbali hapa Bongo, hii ndio list ya wanaume ambao waliwahi kubambwa katika kipindi tofauti wakifaidi mabusu ya Wema Sepetu;

Mwinyi: Huyu ni rapper maarufu wa Machozi band, inasemekana walishawahi kutoka pamoja, na mwinyi ndiye aliyewahi kumvalisha pete ya uchumba,tena mbele ya kadamnasi, akiwa stejini kazini.

Unkown:haikujulikana mapema jina lake halisi, ni mmoja kati ya wanaume waliowahi kubambwa wakifaidi mabusu ya Wema.

Tbway: jina lake halisi ni Tonny Albert, ni mtangazaji wa kipindi cha 5select kinachorushwa na EATV, dont get it twisted,hapa Wema alikuwa ana-show tu love kwa jinsi anavyokubali kazi za huyu presenter maarufu.

Romyjones: huyu ni Dj na pia ni ndugu yake kabisa Diamond Platnumz, Wema anamuita Romy shemeji, sidhani kama kuna ubaya wa kumbusu shemeji mara moja moja, basi hapa Wema naye hakuona noma, kumpa hata busu shemejie.

Martin Kadinda: akiwa ndiye manager wake Wema Sepetu, pia Martin ni mtu wa karibu sana wa Wema, mara nyingi huoneka pamoja katika sehemu tofauti, hii moja ilionekana kule istagram akipozz, huku Martin akimbusu Wema Sepetu, kishkaji tu.

Chaz Baba: Enzi hizo za mwalimu, wakati Wema Sepetu akiwa ameshadondoka kimapenzi kwa Chaz baba, alionekana akijiachia kila apatapo nafasi, hata hivyo baadae walikuja kuachana, ndipo Diamond Platnumz alipoingia na kufanikiwa kumficha kabisa mtoto, hadi hii leo.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply