» » » Picha: Mcheki wema sepetu akiwa na mama Mkwe, Mama Diamond Platnumz

Tazam apicha uliyoimic kutoka instagram ni wema sepetualipokwenda kumtemebelea mama mzaa chema, mama mzazi wa Diamond Platnumz ingawa kulikuwa na tetesi nyingi za kwamba akubaliki nyumbani na ata ndugu wa  Diamond Platnumz, wema sepetu ameamua kuvunja ukimya na kwenda kumtembelea mama mkwe wake huyo na kuandika caption hii baada ya kupiga naye picha mama mzazi wa Diamond Platnumz



"Mimi apa na mamy akeee.... Mzaa Chema wangu... Sie tena... Unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake.... earlier today after kumspoil mwenyewe... ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ Love u mama..."


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply