» » » Picha: Haya ndiyo Majibu ya ukimya wa Alikiba utayapata soon, aanza rehearsal ya video mpya

Alikiba amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusu lini anatoa kazi mpya sababu amekuwa kimya kwa muda mrefu sana, na team Alikiba inahamu ya kupokea zao jipya kutoka kwake.



Habari njema ni kuwa dalili njema zimeanza kuonekana sababu star huyo ameanza mazoezi (rehearsal) kwaajili ya video yake mpya.


Alikiba jana ameshare picha (hapo juu) akiwa kwenye mazoezi ya video na kuandika:
“Am done for the Video rehearsal ,,,…..my question is .did you miss me???”
Ni wimbo gani, kamshirikisha nani, video anafanya na director gani na itafanyikia wapi? Ni maswali ambayo bado wengi tunajiuliza na sina shaka majibu yatatoka hivi karibuni.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply