» » » Huyu ndiye kipenzi cha jaguar

Hata baada ya  kukiri kuwa bado hajafikiria kufunga ndoa, Msanii mkubwa maarufu sana hapa East Africa, jaguar ni mmoja wa wasanii wengi ambao wana watoto wa nje,



Nadhani hii ni mara yake ya kwanza kuweka maisha yake hadharani, na hivi sasa kuja kwa kumtambulisha mtoto wake, ambae yeye mwenyewe anakiri kuwa ndiye kipenzi cha maisha yake.

Jaguar mbali na kuwa ni moja ya wasanii matajiri sana, na wanaojiweza kutokana na ujasiria mali anaojishughulisha nao mbali na kazi yake ya muziki, aliwahi kusema bado hana uwakika wa kuoa kwa sababu ndoa ni jambo la kufikiria sana, linalohitaji umakini wa hali ya juu, na sio kukurupuka tu mara moja.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply