Unknown
Tuesday, May 20, 2014
Mradi wa kuzirudia nyimbo za Bongo kwa mahadhi ya house 'The Refix' ulioanzishwa na producer Lamar akishirikiana na kipindi cha XXL umeendelea na sasa ni zamu ya wimbo wa AY aliomshirikisha Dela wimbo uanitwa 'Asante'Usikilize hapa @Bongo61
No comments: