Habari kwa Ufupi :

» » » Music: Diamond Platnumz ft Davido - My Number 1 Remix [ Elctro House] 'Produced by Lamar

Yule Producer aliyeifanya ngoma ya moyo wangu ya Diamond Paltnumz, Producer Lamar akishirikiana na kipindi cha XXL, ameanzisha mradi wa kuzirudia nyimbo zilizohit nchini na kuzitengeneza katika mfumo wa Electro House kwaajili ya kuparty zaidi. Hii ni version yake ya wimbo wa Diamond na Davido.



Sikiliza hapa ngoma Mpya ambayo imefanyiawa The Refix Diamond akimshirikisha Davido ngoma “Number One Remix”


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hii ndiyo sababu ya Dida's Fashion Kuachana aliyekuwa mme wake wa Ndoa wa Q Chillah
»
Previous
Video : T.I - Turn It

No comments:

Leave a Reply