Unknown
Saturday, May 24, 2014
Ukimya wa Jay Moe umepata jibu. Rapper huyo wa ‘Mvua na Jua’ ni baba wa watoto wawili Gido wa kiume na Ummi wa kike ambao huenda jukumu la kuwalea limemfanya awe kimya kiasi kwenye muziki.
Jay Moe ameshare picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Mchops 3rd generation.”
No comments: