Rais Uhuru na Ruto walikuwa uwanja wa ndege wakimpokea kiongozi wa China, Li Keqiang na walipokuwa uwanjani hapo walikutana na Sonko ambaye pia alikuja kwa shughuli hiyo.
Uhuru na Ruto walishindwa kujizuia na kuangua kicheko walipomuona Sonko akiwa amevaa koti zuri la suti na tai huku chini akiwa ametupia jeans iliyochanwachawa (fashion). Rais Uhuru alionekana kwenye picha akicheka huku akinyoosha kidole kwenye jeans ya Sonko na Sonko..
No comments: