» » » » » Picha:Hivi ndivyo Ja Z alivyo sasa baada ya kupigwa na Shemeji yake 'Slange Mdogo wa Beyonce'

Rapper Ja Z ameonekan tena akiwa na mke wake Beyonce baada ya vurugu aliyofanyiwa na mdogo wake na Beyonce Slange usiku wa utoaji tuzo za Met Gala. Picha hizi zilpigwa wakati Ja Z na Beyonce walipohuzuria mechi ya Nets huko Brooklyn..

Picha hizi zinaonyesha au zinatoa tswira baada ya ugomvi huo wamekuwa katika hali gani wapenzi hawa wawili

Tazam picha hapa chini , Je Unafikiria kuna lolote linaloendelea katika nyuso za mastaa hawa wakubwa baada ya mdogo wa Beyonce kumpiga Jay Z



























Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply