» » » Sad News: Mwimbaji wa muziki wa dansi Amina Ngaluma amefariki Dunia

Mmoja wa waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi kutokea hapa nchini Amina Ngaluma amefariki dunia.
Muimbaji huyo alitamba na bendi za Tam Tam na Double M Sound,amefia nchini Thailand alipokuwa akiishi kikazi kwa muda mrefu.Moja ya nyimbo zilizompa umaarufu ni Mgumba No.1 aliouimba na bendi ya African Revolution 'Tam Tam' chini ya Mwinjuma Muumin.




Tungependa kuwapa pole ndugu,jamaa na marafiki wa karibu wa familia,mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply