» » Hii ndio Orodha ya Wanaoshiriki tuzo za BET 2014 ,Beyonce na Jay Z waongozwa kutajwa katika vipengele vingi

BET imetangaza orodha kamili ya wasanii wanaowania tuzo za BET mwaka huu (BET Awards 2014) na Jay Z na Beyonce wameongoza zaidi baada ya kutajwa mara nne kila mmoja.



Beyonce ametajwa kuwania tuzo ya Mwimbaji bora wa kike wa R&B/Pop (Best Female R&B/Pop Artist), Wimbo bora wa kushirikishana (Best Collaboration (Drunk in Love)) na video bora ya mwaka ambapo video zake mbili zimeingia (Partition na Drunk In Love).

Jay Z ambaye Drunk in Love imempa nafasi mbili yaani Best Video of The Year na Best Collaboration, wimbo wake wa Holy Grail aliomshirikisha Timberlake imetajwa kuwania tuzo katika kipengele cha Best Collaboration, na pia ametajwa kuwania tuzo ya Msanii bora wa kiume wa hip hop (Best Male Hip Hop Artist).

Drake, Chris Brown, Pharell Williams na August Alsina wao wametajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele vitatu.

Utoaji wa tuzo hizo unatarajiwa kuoneshwa moja kwa moja Jumapili, June 29 mwaka huu.



Angalia hapa orodha nzima ya nominees:

Best Female R&B/Pop Artist

Beyoncé
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist
August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake
Pharrell Williams

Best Group
A$AP Mob
Daft Punk
Macklemore & Ryan Lewis
TGT
Young Money

Best Collaboration
August Alsina f/ Trinidad Jame$ - "I Luv This"
Beyoncé f/ JAY Z – "Drunk In Love "
Drake f/ Majid Jordan – "Hold On (We're Going Home)"
JAY Z f/ Justin Timberlake – "Holy Grail"
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – "Blurred Lines"
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – "My Hitta"

Best Male Hip Hop Artist
Drake
Future
J. Cole
JAY Z
Kendrick Lamar

Best Female Hip Hop Artist
Angel Haze
Charli Baltimore
Eve
Iggy Azalea
Nicki Minaj

Video of the Year
Beyoncé – "Partition"
Beyoncé f/ JAY Z – "Drunk In Love"
Chris Brown – "Fine China"
Drake – "Worst Behavior"
Pharrell Williams – "Happy"

Video Director of the Year
Benny Boom
Chris Brown
Colin Tilley
Director X
Hype Williams

Best New Artist
Ariana Grande
August Alsina
Mack Wilds
Rich Homie Quan
ScHoolboy Q

Best Gospel Artist
Donnie McClurkin
Erica Campbell
Hezekiah Walker
Tamela Mann
Tye Tribbett

Best Actress
Angela Bassett
Gabrielle Union
Kerry Washington
Lupita Nyong’o
Oprah Winfrey

Best Actor
Chiwetel Ejiofor
Forest Whitaker
Idris Elba
Kevin Hart
Michael B. Jordan

YoungStars Award
Gabrielle Douglas
Jacob Latimore
Jaden Smith
KeKe Palmer
Zendaya

Best Movie
12 Years a Slave
The Best Man Holiday
Fruitvale Station
Kevin Hart: Let Me Explain
Lee Daniels' The Butler

Subway Sportswoman of the Year
Brittney Griner
Lolo Jones
Serena Williams
Skylar Diggins
Venus Williams

Subway Sportsman of the Year
Blake Griffin
Carmelo Anthony
Floyd Mayweather Jr.
Kevin Durant
LeBron James

Centric Award
Aloe Blacc – "The Man"
Jennifer Hudson f/ T.I. – "I Can't Describe (The Way I Feel)"
Jhené Aiko – "The Worst"
LiV Warfield – "Why Do You Lie?"
Wale f/ Sam Dew – "LoveHate Thing"

Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria) Toofan (Togo)

Best International Act: UK
Dizzee Rascal
Ghetts
Krept & Konan
Laura Mvula
Rita Ora
Tinie Tempah

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply