» » » Akaunti ya twitter ya Diamond Platnumz yawa verified

Msanii Diamond Platinumz amezidi kupiga hatua nyingine katika mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya akaunti yake kuwa verified leo June 6


Hivi sasa Diamond ni msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply