» » » Picha: Mrembo wa Young Killer aonesha kwenye swimming pool kilichomfanya apewe nafasi ya ‘Umrs Supastaa’

Yule Mrembo wa young Killer Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’ kutoka kwa Young Killer. Jionee.




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Flaviana Matata aungana na Russell Simmons na Kimora Lee kwenye hafla ya Wayuu Taya Foundation
»
Previous
Akaunti ya twitter ya Diamond Platnumz yawa verified

No comments:

Leave a Reply