» » » Picha: Flaviana Matata aungana na Russell Simmons na Kimora Lee kwenye hafla ya Wayuu Taya Foundation

Mwananmitindo Flaviana Matata kutoka Tanzania aishieye Nchini Marekani alikuwa mmoja wa wageni waalikwa kwenye hafla ya Wayuu Taya Foundation ambapo aliungana muasisi wa label ya Def Jam, Russell Simmons na mke wa zamani Kimora Lee.



by @doublecrossvodka “Proud supporter of @wayuutaya, @uncle_rush with @Flavianamatata @eugenawashington & @Angela_martini. #wayuutaya” #flavianamatata

Taasisi hiyo husaidia kuimarisha maisha ya wamarekani wenye asili ya kilatini.



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hermy B afunguka kuhusu mtu aliyemkosanisha na wasanii wa B’Hits
»
Previous
Picha: Mrembo wa Young Killer aonesha kwenye swimming pool kilichomfanya apewe nafasi ya ‘Umrs Supastaa’

No comments:

Leave a Reply