Ni baada ya Twitter kuiverify akaunti ya Diamond Platnumz, Facebook nao wemefanya hivyo, wameiverify account ya Diamond Paltnumz,
na kwa Sasa Diamond ameungana na Flaviana Matata na Salim Kikeke miongoni mwa Watanzania wenye akaunti halali za Facebook.
No comments: