» » Joseph Olita, aliyeigiza kama Idi Amin afariki

Muigizaji aliyeigiza kama Idi Amini, kwenye filamu ya Rise and Fall of Idi Amin, Joseph Olita amefariki dunia Jumapili (June 1) akiwa na umri wa miaka 70.Imeripotiwa kuwa Olita alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu na alizidiwa zaidi Jumapili akiwa nyumbani kwake wilaya ya Siaya nchini Kenya na kupoteza maisha majira ya saa tano asubuhI.

Tazama video hapa chini kumjua vizuri Joseph Olita


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply