Tunaomba usikilize hii audio Mume wa Flora Mbasha akiomba msamaha na akifichua mambo magumu mazito yanyoendelea ndani ya famili hiyo ambayo imezua gumzo mtaani kwa kile kinachofikiriwa kua imepoteza uaminifu kutokana na jamii inavyoichukulia
kua ni familia yenye hofu kubwa ya Mungu,lakini jamii imesahau kua hawa ni binadamu 100% kuna kuanguka ,tunaomba maoni yako unasemaje juu ya hili.
No comments: