June 17 bwana Emmanuel Mbasha alifika mahakamani hapo na kukana shitaka la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 anaedaiwa kuwa shemeji yake, na alipelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.
Muendesha mashitaka wa serikali alieleza Mahakamani hapo June 17 kuwa upelelezi wa kesi hiyho umekamilika. Emmanuel Mbasha atapanda kizimbani tena July 17 kujibu mashitaka yanayomkabili
No comments: